Featured Posts

Saturday, July 5, 2014

AJALI MBAYA YATOKEA ENEO LA MBEZI BEACH KARIBU NA GIRRAFE HOTEL

 Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj



 Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
  Gari ikiwa imeharibika vibaya


Ajali mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa hospitali.Tutakuletea Taarifa kamili

TUMEAMIA HUKU