Mfanyakazi wa kampuni ya ving'amuzi ( jina kapuni) tawi la Moshi anayefahamika kwajina moja la Neema, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu ameipaka matope kampuni hiyo baada ya kupiga picha za utupu....
Picha hizo chafu zaidi ya nne zinamuonyesha akiwa mtupu kama alivyozaliwa huku akiyanadi maubile yake nyeti kiasi cha kuonekana bayana....
Uchunguzi wetu umebaini kuwa mwanadada huyo alipiga picha hizo kwa hiari yake na hakuwahi kumshirikisha mumewe.....
Imeelewa kuwa mara baada ya kupiga picha hizo, Neema alizituma kwa mwanadada mmoja anayesifika kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja 'Msagaji' mkazi wa jiji la Dar es Salaam....
"Kwa kweli sababu ya kuzituma sisi hatujui.Lakini siku hizi kuna tabia mpya ya wanawake kubadilishana picha zao za utupu.Katika hili wapo wake za watu na wanafunzi wa vyuo vikuu, haifahamiki ni kwa nini wanafanya mambo haya," kimesema chanzo chetu.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...





