Featured Posts

Monday, June 9, 2014

KILA SIKU DIAMOND NA WEMA TU? HATIMAYE DIVA AJIBU MAPIGO TAZAMA ALICHOKIPOST KWENYE INSTAGRAM

GK na diva

Moja ya jambo zuri katika mapenzi ni kukumbukana na kuonyesha kuwa unamkumbuka mpenziwe na kumjali,  hasa kwa kijana kama ndio ushapendwa bila shaka kuwajibika na kujituma ili kuweka smile kwa mpenzi wako, wengi wamezoea kuona Wema akipost picha za zawadi alizoletewa a Diamond, ila hii ya leo Diva nae kajibu mapigo, ni baada ya kutupia picha ya simu mpya yakisasa aina ya samsung galaxy s5 aliyoletewa na Gk,ambaye ndiye mpenzi wake kwa hivi sasa, Diva kupitia account yake ya instagram alimalizia kwa kumtupia maneno matamu Gk’
10454042_547615385347015_64368172_n
“Thank you My Gk for dis s5 new model insp…… huu mji niko katika foleni masaa sasa.. but na simu hii mpya lol … kupendwa rahaaaa”- alimalizia Diva ambaye ndiye mtangazaji wa clouds fm maarufu kwa kipindi chake cha ala za roho,  akiwa anatumia jina la Divathebawse kwenye mtandao huo wa kijamii wa instagram.
10362080_1498026627078239_50308614_n

TUMEAMIA HUKU