Hii ni zaidi ya Sodoma na Gomora, huyu boss na Sekretari wake wamenaswa na kamera wakifanya ufirauni ofisini. Jamani hv hapo kazi zitaenda kweli??Sekretari anadai akifanya hivo boss atamwongezea mshahara. Duuh, makubwa sana tena sana.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...