Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa , wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku wakiwalaghai wame eti maziwa hayatoki.Tabia hii imeshika kasi mpaka wanawapa tabu
mafundi nguo , wakishona bila kuweka mbeleko ya kuyabeba. Wasichana wamefikia.hatua ya kujikaba kifua huku wakieemea juu juu kisa yatune. wengine masikini yashakuwa sokis lakini ngozi hiyo itakabwa wee mpaka itune. Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au mitego
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...