Featured Posts

Wednesday, June 25, 2014

KAMA ULIKUA HUJUI,HII NDIYO NYUMBA YA KIFAHARI ANAKOISHI LADY JAY DEE, VITU NDANI NI SHIDAAAA, TAZAMA MWENYEWE HAPA

lady jay dee ni msanii mkongwe sana na mwenye maendeleo makubwa pia ameweza kulinda heshima yake tangu kipindi anaanza mpaka hii leo , mziki umeweza kumpatia mafanikio makubwa ikiwemo kupata tuzo kibao kimataifa na kimataifa, mbali na hilo pia jay dee anamiliki band inayoitwa machozi bendi, naa pia mgahawa wa kisasa unaoitwa nyumbani lounge, hii leo tunkuletea exclusive picha ya nyumba ya kifahari anakokaa mwanadada huyo, picha zote ziko hapa shuka nazo

TUMEAMIA HUKU