Kama ulidhani shepu inakuja tu kwa maombi jipange, ukweli muulizeni shilole kwa uamuzi wwake huu, hivi sasa kaamua kufikia uamuzi wa kuingia Gym kujifua ili aweze kurudisha sexy body yake ileee, hii ni baada ya kuanza kujiona haridhiki na hali yake ya hivi sasa kimuonekano.Watu wengi walikuwa wameshaanza kuponda, nakusema eti shilole amejiachia hasa pale anapoonekana akiwa kwenye show zake mbalimbali, hii sasa ameamua kupunguza maneno ya watu na kuamua kufanyia kazi, na hivi ndivyo anavyofanya yake.