huu ni mfano mzurisana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuishi katika maadili yanayompendeza yeye bila kujali tofauti zakikazi labda wewe ni msanii wa muziki au maigizo haijarishi, mmoja wa watu waliopongezawa na wengi UWOYA ambaye kwa kutumia nafasi yake kama kioo cha jamii ameweza kuwakumbusha wasichana ni jinsi gani wanapaswa kujisitiri katika kipindi chote cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, picha hiyo inaonyesha jinsi gani msaniii huyu amependeza na kudhihirisha kua si lazima uvae ovyo ndio upendeze na kuvutia, hata ukisitiri nywele zako vizuri unatoka poa tu.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...