Featured Posts

Wednesday, June 25, 2014

UNAAMBIWA FEROOZ HAWEZI KUSAHAU SIKU ALIPOMWAGIWA MAUNO NA WEMA NA ANTI EZEKIEL FIESTA MOSHI

katika vitu ambavyo mkali wa bongo flava ambaye anasauti ya pekee, Ferooz, anadai katu hawezi kuvisahau ni siku ambayo alikatiwa mauno na wakali wa bongo movie, wema na ant ezekiwl kipindi hicho fiesta ambayo ilifanyika moshi, Ferooz anadai kua  kuwa kila wakati anayakumbuka mauno ya mastaa hao ambayo yalimfanya apate mfadhaiko na kuongeza kuwa almanusra asahau mistari ya ngoma yake ya Ndege Mtini akiwa stejini.


TUMEAMIA HUKU