unajua hamna kitu inaboa kama upo club then unamwona binti mkali a hile unamsogelea kujaribu kumapproach , anakukata jicho then kiuno anamsusia demuwenzie, dah hii inaboa sana ukizingatia wanakua mara nyingine wameingia bFREE
-





