Hii world cup itaisha lini watu waache uongo, imagine kwa plot yenye me naishi, next room kuna dem fulani yuaishi apo. Sa Jana usiku nikaskia sauti ya mume akiongea kwa sim ati....HELO, SINILIKWAMBIA LEO KUNA GAME KUBWA BRAZIL NA GERMAN, SA MBONA KUNISUMBUA NA NIKO KWA KELELE? KWANZA ATA SIO HIO PEKE, KUNA INGINE YAFAA KUANZA SAA 8 NEDHALAND NA GHANA KWA IVO SIDHANI KA NITAKUJA..MPAKA KESHO...Na imagine jana hakukuwa na game na tena Ghana iliondolewa na German Haifa kukutana na brazil ... Toa maoni ni poa kumfanyia mkeo ivo?...
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...