Featured Posts

Friday, June 20, 2014

MASHABIKI WAWASHAURI WEMA NA KAJALA KUMALIZA TOFAUTI ZAO,, WADAI WANAPENDEZANA, CHEKI PICHA ENZI HIZO WAKILA BATA PAMOJA

dah wema amewahi kuwa na marafiki lakini kajala alikua kama anausika hivi maana kama wanaendana flani hivi na walitokea kukubalika na mashabiki sana, sema ndo hivo mafahali wawili hawakai zizi moja, tazama picha walivyotokelezea hapa hadi raha, why don't you guys resolve the situation and get back together? 


TUMEAMIA HUKU