Featured Posts

Friday, June 20, 2014

KAMA ULIMISS PICHA JINSI HEMED PHD, ALIVYOTUKANWA NA MDADA WA KIZUNGU CLUB BILLICANAZ, ZITAZAME HAPA

hii ilitokea club billicanas ambapo bishoo huyu alijikuta akisachiwa na mtoto huyu wa kike kwa kupandishiwa sauti na kurushiwa maneno makali, mapaparazi walifanikiwa kuzipata picha za tukio japo haikujulikana mar moja nini kilikua chanzo cha ugonvi huo hata hivo watu waliokuwepo waliingilia kati ugonvi huo hivo kuepusha balaa




hilo

TUMEAMIA HUKU