Featured Posts

Wednesday, June 25, 2014

TAARIFA ZINADAI WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA AMEFARIKI DUNIA

 Habari iliyotufikia hivi punde ni kuwa waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania mh. Shukuru Kawambwa amefariki dunia.... Bado tupo katika mchakato wa kuthibitisha hili... tumempigia simu ila haipokelewi. Inasemekana alikuwa safarini kuelekea mkoani Mwanza na amepata mshtuko wa ghafla..
Ukweli kuhusu habari hii tutakuletea hapa hapa

TUMEAMIA HUKU