Featured Posts

Monday, June 9, 2014

BAADA YA DIAMOND KUKOSA TUZO MTV BASE, INSTAGRAM PAMECHAFUKA DIVA AJITOA TEAM WEMA

Daah hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255,  Diamond hakufanikiwa kupata TUZO  za MTVmamaAWARD hapo jana  huko South Africa. (Sio mbaya sana kushiriki tu kwangu Diamond ni ushindi)

Na kama unavyojua tena huko kwenye mtandao wa  INSTAGRAM kuna AKAUNTI  mbalimbali ambazo zina  WSAPOTI Diamond na Wema na zingine hazi WASAPOTI... Kwa kifupi wapo walio ponda na wengine kumpongeza kwa hatua aliyofikia...ISHU YENYEWE NI HIVI!!

Diva wa Clouds FM kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM na alijitokeza na kumpongeza DAVIDO kwa kuchukua TUZO kuwa ndio alikuwa ana DEZEVU (Best Male: Davido (Nigeria) ambayo pia Diamond alikuwa anashindania)....hapa ndio MOTO ukawaka...wale wote (wengi wao) wanaojiita TEAM WEMA walimuibukia na kumponda sana DIVA ambae hivi karibuni sema hadharani kuwa yeye ni TEAM WEMA 

Kufuatia KOMENT  nyingi kutoka kwa watu wa TEAM WEMA kumtukana na ku DIS na Kususia kwenda kwenye SHOW  yake ambayo itafanyika leo BILLS

Diva amewaponda Team  Wena na kujitoa Rasmi :

TUMEAMIA HUKU