Featured Posts

Monday, June 9, 2014

BAADA A KIMYA KIREFU HATIMAYE FLORA NAE AZUNGUMZIA SAKATA LA UBAKAJI LA MME WAKE

Baada ya kutokea sakata la mdogo wa Flora Mbasha Kubakwa na mume wa Flora, hatimaye Flora ajitokeza katika akaunt yake ya facebook. atupia picha hiyo hapo juu lakini bila caption yeyote ile ikiwa na Maana Maisha yanaendelea Kama Kawa

TUMEAMIA HUKU