modo anayesumbua sana masikio ya watu kutokana na vituko na mvuto wake pale anapoonekana kwenye kamera za video za wasanii si mwingine na mwanadada mkenya corazon kwamboka, hii leo ameamua kuibuka na wigi ambalo yeye binafsi amedai amelinunua kwa gharama kubwa sana , tazama picha hii hapa uone kama ametokelezea ama lah






