Featured Posts

Wednesday, July 30, 2014

JE UNAMJUA BONGO MOVIE MWENYE TABASAM MATATA KULIKO WOTE, MJUE LEO HAPA HAPA

Shamsa kama anavyoonekana hapo juu na babyd wake ni mschana mwenye furaha mno na huyo mwanaume wake, wasanii wengi hawana furaha namna hii na wanaume zao, wengi ni ukiwaona leo kesho utasikia wanaanza kukashifiana yani tabu tupu
picha ya juu Shamsa akiwa na mimba, na hizi mbili akiwa ameshajifungua motto wake, kweli ukikubali kuwa na mpenzi ambaye umempenda kwa hali yoyote lazima uwe na furaha namna hii lakini hawa wapesa mjini utaonekana unatanua lakini moyoni hauna raha kabisa, kisa cha kujipa jakamoyo kisa ufurahishe watu mjini eti wakuone unabadili nguo na pochi kila siku wakati maisha yako yanaoza ndani manake moyo unasimanzi, Shamsa hongera sana mamaa, KUNA MWENYE TABASAMU KAMA LA SHAMSA NDANI YA BONGO MOVIES? KAMA YUPO BASI TUMA PICHA EMAIL HIYO HAPO JUU LAKINI NAAAAA SIDHANI KAMA YUPO. OKAYYY    BYEEEEEE

TUMEAMIA HUKU