Shinji
Kagawa (kushoto), Darren Fletcher (katikati) na Tom Cleverley (kulia),
wakishangilia baada ya kuifunga Inter Milan kwa penalti 5 -3.Katika mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa FedEx Field mjini Washington, penalti za United zilitiwa nyavuni na Ashley Young, Javier Hernandez, Tom Cleverley, Shinji Kagawa na Darren Fletcher wakati Marco Andreolli wa Inter aligongesha mwamba. Van Gaal akipanga vikosi viwili, kimoja kila kipindi.
Man United kipindi cha kwanza: Lindegaard, Smalling, Jones, Evans, Valencia, Fletcher, Herrera, Young, Mata, Rooney, Welbeck
Kipindi cha pili: De Gea; M Keane, Evans, Blackett; Young, Cleverley, Fletcher, Kagawa, Shaw; Zaha, Nani/Hernandez dk77.
Inter Milan: Handanovic/Carrizo dk63, Ranocchia, Vidic/Andreolli dk72, Juan Jesus, D'Ambrosio, Jonathan, Kuzmanovic/Laxalt dk63, Krhin/M'Vila dk46, Dodo/Nagatomo dk63, Botta/Taider dk63 na Icardi.












