Featured Posts

Tuesday, July 29, 2014

TAZMA PICHA HAPA RAY C AKIWA MITAANI NA MATEJA, AKIHAMASISHA



 Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa.Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.


TUMEAMIA HUKU