Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia.
Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.Sehemu ya ubavu wa kulia wa gari hilo ukiwa umeharibika vibaya.Upande wa kushoto wa gari hilo.Raia waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia ajali iliyotokea.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...