Kuna baadhi ya watu huwa wana fikia mahali wanapenda vitu hadi wakikikosa wanakuwa wanyonge hadi kuumwa, mbfali na perfumes Diva maarufu hapa Bongo Wema Sepetu yupo
addicted sana na mbwa, ila huyu si
mbwa tu, maarufu kama Chiwawa, Divas wengi maarufu duniani huwa hawakosi aina hii ya mbwa wao
ndani ya nyuma na hadi wengine utawakuta wanatembea nao kabisa katika matembezi ya kawaida ya mtaani akiwemo mwanamuziki tajiri Paris Hilton, tabia hii ya kupenda mbwa hawa kiasi hiki iliwahi kukithiri uko ulaya, hadi kufikia mahali watu kukatazwa kuingia na mbwa hotelini na baadhi ya malls.
Kama ilikuwa haitoshi, kupitia account yake ya instagram aliweza kufunguka haya.”Namtaka kama huyu sijui nampata wapi…. yaani awe hivi hivi…Ila huyo apo mimi namtaka… nisaidieni nampata wapi… Dah…. Ni mzuri