Stori za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya ambavyo vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy Brown ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli nyuli alihitaji kuwatumia wacheza show(dancers) wa Shilole na baada ya kuelewana Shilole aliombwa kutumiwa Laki 2 ili awalipe hao wacheza show.
Sasa ishu imekuja baada ya Shilole kupewa zile pesa hakufanikiwa kuwapeleka wale dancers na kitu kinachozungumziwa na Samir na kuhusu pesa aliyopewa anahitaji kurudishiwa maana video waliyotaka kuifanya tayari imekwishafanyika....
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...