2:34 AM
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney aliandika haya katika profile yake
"Nimejinunulia Gari Aina ya Murano Kama zaiwadi ya Birthday yangu , Limenigharimu Shilingi Mil 36 za Kitanzania , ni la Mwaka 2007 so bado ni Jipya Kabisa, One Love kwa mashabiki wangu