Featured Posts

Monday, September 8, 2014

HATIMAYE JACK CLIFF YASEMEKANA YUKO MTAANI KIMYA KIMYA, TAZAMA PICHA HIZI HAPA ALIVYONASWA


 
 Kama utakuwa unamfahamu mwanadada Jack Cliff ambaye ameshawahi kushirikishi katika video mbili kama Queen Video ambazo ni Nataka Kulewa na she got a gwan ya Ngwair na nyinginezo,
sasa mrembo huyu baada ku post picha hii katika mtandao wa instagram watu wengi sana wanauliza na maswali mengi juu ya Jux na Jack Cliff huko China.
Huku Jux kupitia katika akaunti yake ya instagram alipost picha hiyo hapo juu ambayo jack Cliff akijaribisha kuvaa viatu vyake na kuandika Baby Tryn them #me Jordan...#dope though.
source djfety

TUMEAMIA HUKU