Featured Posts

Friday, June 20, 2014

MZEE WA UPAKO AMPAKA MCHUNGAJI GWAJIMA HADHARANI, ''ADAI KAMA ANAFUFUA MISUKULE MBONA HAMFUFUI BABA NA MAMA YAKE?''

Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?

Gwajima mzee wa HUMMER3 na wafuasi wake mna lolote la kuoangea?

TUMEAMIA HUKU