Featured Posts

Wednesday, June 18, 2014

MSANII RPMA AKUTWA NA MAJANGA MAZITO SANA, ANUSURIKA KIFO

roma

Mkali wa hiphop maarufu kama Roma Mkatoliki hivi juzi kati alipatwa na majanga wakati a safari yake ya huko Tanga, Roma kupitia account yake ya instagram alipost picha za tukio ilo baadaya kupata pancha ya gari lake alilokuwa akisafiria nalo mkoani huko. Imekuwa kama 2014 ni mwaka wa majanga hasa baada ya kukisiri na vifo vingi, hasa vya wasanii kusababishwa na ajali za magari, hata hivyo tunashukuru Mola kuwa kwa mkali Roma ilikuwa ni pancha tu, ila baada ya muda ilisemekana kuwa mambo yalisawazishwa sawa tu na safari ikaendelea poa.
926221_732271396816640_443202179_n

TUMEAMIA HUKU