Kuna story moja imeandikwa kuhusu lady jaydee kumpigia magoti Ruge na gazeti la pilipili. Vibe Tanzania hatutaki kuzungumzia kuhusu kilichoandikwa kwenye gazeti la pilipili lakini tulifanikiwa kuongea na lady jay dee kuhusu habari hizo naye alisema habari hizo sio za kweli na inamuuma sana jinsi watu wanavyopenda kuandika uongo juu yake.Lakini amesenma ipo siku ukweli utajulikana tu…