Featured Posts

Monday, June 23, 2014

MAJANGA COLETHA WA BONGO MOVIE NAE ATAFUTA UMAARUFU KWA KUTUPIA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI

 
Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo. 
 
Picha ya utupu iliyosambaa ya Mwigizaji Koletha Raymond ‘Koletha’. Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:“Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha

TUMEAMIA HUKU