Featured Posts

Tuesday, June 24, 2014

JE WAIJUA FILAMU YA KIBONGO ILIYOCHEZWA NA MASTAA WENGI , NA INA MASHARTI YA KUTAZAWA NA WAKUBWA TUU, WATOTO MARUFUKU..!!! SOMA HAPA KUIJUA


Mtunisi, Kabuti Onyango na Jacklin Wolper katika pozzzzz..

Za asubuhi wapendwa tukiwa tupo location kuandaa kz mpya toka Nice Entertainment napenda kuwakumbusha film ya who's bad ipo njiani kuja jiandae msisitizo ni Kwa wakubwa tu watoto haiwahusu thanks. Maneno hayo yameandikwa na Kabuti Onyango the best Camera man in Tz lisaa limoja lililopita katika ukurasa wake wa Facebook

TUMEAMIA HUKU