Mtangazaji wa kipindi cha ala za roho kinacho rushwa na radio ya watu Clouds fm na pia ni mwimbaji Diva aka mimi amemcharukia mwana mziki wa kundi la wanaume family Chege Chigunda nakusema kuwa hakumuomba chege kuonekana kwenye video yake mpya mwanadada huyo aliongeza kuwa "Unanijua unanisikia hawawezi kunifanya chochote na wala siwezi kurudisha gharama zao zozote zile" alisema mwanadada huyo.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...