Featured Posts

Thursday, June 19, 2014

DADA AVULIWA NGUO NA KUCHAPWA BAKORA NA WAUNI MTAANI, KISA UTAPELI

dada mmoja nchini namibia ambaye anasemekana ni kiongozi wa kikundi cha kike cha waporaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukammatwa na vijana wenye hasira kali na kumvua  nguo mbele ya umati na kumuacha akiwa mtupu kisha kumtandika bakora, inasemekada dada hao wanajifanya madada poa na wakisha pata mteja uenda nae mafichoni kwa ajili ya kumpa haki yake na wakifika huko mafichoni utokea kikundi cha wadada wenye visu na viwembe ambapo wnamtishia mteja na kumtaka atoe kila alichonacho, ama kweli za mwizi arobaini,, aibu kweli kweli

TUMEAMIA HUKU