Featured Posts

Friday, June 20, 2014

ALOKWAMBIA SALAMA HAJUI KUPENDA NANI? MWENYE ADATA NA MWANASOKA HUYU WA KIMATAIFA, MAHABA NJENJE


oooh salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana,  mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi salama jabir hii leo kaonyesha kumbe ana hisia za kimapenzi,  salama alighirisha wazi kumzimia mchezaji maaruu wa timu ya realmadrid na timu ya taifa ya ufaransa Karim Benzema, ni katika mechi thidi ya Switzerland na timu ya taifa ya ufaransa ,, salama likua akiangaika 
kutweet kwenye wall ya mchezaji huyo huku akionyesha wazi kuwa anamzimaia
cheki hapa baadhi ya tweet zake 




TUMEAMIA HUKU