Featured Posts

Saturday, July 12, 2014

KUTANA NA HEKAHEKA INAYOMHUSU MAMA WA DIAMOND PLATNUMZ

mama diamondMama yake Diamond Platnumz leo July 11 alikua kwenye kipindi cha Leo Tena kutoka Clouds Fm na alipata nafasi ya kutoa 

Hekaheka yake ambayo inahusu maisha yake pamoja na Diamond Platnumz kwenye malezi yake mpaka hapo alipo Diamond kwa sasa.
dmn

TUMEAMIA HUKU