Featured Posts

Friday, July 11, 2014

DUHU ETI UWOYA NA MASOGANGE WANAISHI PAMOJA SOUTH , JE WANA ISHU GANI HUKO???


Hili ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema chochote...Lakini Masogange kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM amekuwa akiweka picha kadhaa za Irene Uwoya wakiwa pamoja huko SAUZI....Sasa katika kumaliza zaidi jana ameka video Irene akiwa anapika....HEHEHEHE

TUMEAMIA HUKU