Kilimanjaro Music Tour Ilivyojiri Kahama hatua kwa hatua:


Dullah akifanya amsha amsha

Mashabiki wakiendelea kuzungusha Kikwetu

Backstage: AY

Backstage: Mwana FA na Sajjo

Shilole ndiye ameifungua Kili Music Tour Kahama

Shishi Kiuno jukwaani

Christian Bella kabla ya kupanda jukwaani

Rich Mavoko akifanya yake Kahama

Mizuka ya Kili Music Tour ikipanda

Nyeusi ilipokutana na Mong’oo

Christian Bella jukwaani

Mashabiki waliodatishwa na Show

Machalii wa AR jukwaani

Mikono juu wote

AY

Mori wa Mwana FA

DJ Arthur Kazini

Cheza bila kukunja goti

Mizuka ya pembeni ya jukwaa

Uwanja wa Halmashauri ya Kahama haukutosha