Featured Posts

Wednesday, June 25, 2014

PICHA ZINAZOMWONYESHA MSANII LULU AKIWA GEST HOUSE ZAZUA GUMZO NA UTATA KWA MASHABIKI


hivi karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo  akiwa katika chumba ambacho kinaonekana ni gest, hata hivyo haijajulikana kama ni kipande cha filamu au vip,  mpaka tunaingia mitamboni jitihada za kumpata LULU hili amalize utata    ziligonga mwamba .


TUMEAMIA HUKU