kama ikitokea unasikia demu wako au mwanao kwa mfano anaomba ruhusa ya kwenda club za usiku, kataa katakata kumruhusu maana huko ndani ni shidaaa za idi ya shidaa hii picha imechukuliwa katika moja ya klabu maarufu mjini, tazama mtoto wa kike anavyomwaga radhi bila haya ,,, bila shaka akirudi nyumbani kuna mtu anamwita baby dah.. kama vipi masela tuwe tunaenda na mademu zetu tusiwaruhusu peke yao kabisa maana wanachofanywa huko ni nusu ya kuchapiwa
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...