Haya hatimaye leo tumemaliza ule ubishi wa watu waliokuwa wanabishana kuhusiana na swala zima la wema sepetu kumsindikiza diamond the platnumz kwenye tuzo za BET awards 2014 , i hope mmeiona hiyo screen snap ambayo tumeichkua leo kupitia account ya instagram ya staa wema sepetu, akifunguka ya kuwa atamsindikiza diamond the platnumz kwenye awards hiyo, oo God mh eti itakuaje? Kwenye red carpet huku beyonce na jay z, na huku diamond the platnumz na wema sepetu haya kantangaze..
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...