Featured Posts

Friday, May 23, 2014

HUYU NDIYO ANAYESEMEKANA KUWA MPENZI MPYA WA PENNY SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Mwanadada, Penny akanusha kujihusisha na mahusiano na mwanaume mwingine ikiwa ni muda mchache tangu aripotiwe kuachana na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum.
Mwanadada huyo,ambaye alikanusha vikali tuhuma hizo, kwa madai kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakifwatiria maisha yake kwa kumnyima uhuru kufanya jambo lolote lile.

TUMEAMIA HUKU