hizi ndizo sms au ujumbe mfupi wa maneno ambao bond alikua akichat na marehemu mda mchache kabla ya mauti kumfika, inasikitisha sana hii, lakini hatuna jinsi kwani wote tutapitia njia hiyo. mungu ailaze roho ya marehemu maala pema peponi amina.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...