Hakika hii ni hali ya kusikitisha na si jambo la kulichukulia mzaa.Wadada hao walionekana club wakilana denda mbele ya kadamnasi bila woga.


