| Adelaida Seenga mshindi wa Miss Dodoma 2014 akiwa na washindi wenzake, Wagesa Mshindi wa pili kulia pamoja a Linda mshindi wa tatu kushoto. |
| Adelaida Seenga akiwa katika pozi la furaha mara baada ya kutangazwa kuwa Mshindi. |
| Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na warembo |
| Warembo wote wakiwa katika picha ya pamoja na washindi |





