Featured Posts

Friday, May 23, 2014

MAJANGA: BIBI MCHAWI ADONDOKA BAADA YA KUCHOKA KUPAA. WAYA WA UMEME WAZUA MAMBO


Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.

Mtu mmoja aitwaye  Chike ametoa ushahidi kwamba aliona  ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana kitu kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe um wonae hapa juu.Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka

TUMEAMIA HUKU