Featured Posts

Saturday, May 10, 2014

MASKINI DIAMOND: BAADA YA KUBEBA TUZO KIBAO, WAHUNI WAMPONGEZA KWA KUMWIBIA NYIMBO YAKE MPYA

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa... Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified" Diamond

TUMEAMIA HUKU