Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.
Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo) mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar Es Salaam kwa dada yake na kumbe anaishia kuwekwa kinyumba na msanii maarufu wa bongo movie ambae ameshutumiwa mara kadhaa na vyombo vya habari kua ni msagaji lakini hupinga swala hilo kwa macho makavu yasiyo na aibu.