Featured Posts

Thursday, May 8, 2014

JAY DEE AZIDHARAU TUZO ZA KTMA ADAI HAJUI KAMA ZISHAFANYIKA TAYARI

Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo, shabiki yake akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani Zimeshafanyika? Akiwa na Maana Hajui kama Tuzo hizo zilishafanyika na Hajui kama Alishinda.....Mweeeeeeh


TUMEAMIA HUKU