Featured Posts

Friday, May 23, 2014

IMETULIA: RICH MAVOKO APOKELEWA NA MISAFARA KAMA RAISI NCHINI BURUNDI


Rich mavoko, ni msanii wa bongo ambaye hua namkubali sana katika kazi zake ambazo anazifanya nimekuwa kama samaki .... Umeona unaambia kwa sasa yupo nchini burundi ameitwa kikazi zaidi, na tayar ameshaingia studio kwa ajili ya kufanya ngoma yake na mburundi mmoja hvi but for know amegoma kuimbia blog ya makubwa haya kuwa ni msanii gani ambaye ameplan kufanya nae club, hebu mcheck hapo chini akiwa on process ya kuingiza voko kwenye nyimbo yake mpya

TUMEAMIA HUKU