Featured Posts

Friday, May 23, 2014

HII NDIO MPYA KUHUSU HAMISA MOBETO NA DIAMOND PLATINUMZ

 Ilishawahi kutoka taarifa ambayo haikuwa rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Hamisa mobeto ambayo Soudy Brown leo ameonge na Hamisa Mobeto baada ya kusemekana kuna ofisi 
anataka kufungua mabayo ndani yake kuna mkono wa mshindi wa tuzo 7 za Ktma2014 Diamond Platnumz

TUMEAMIA HUKU