Huko Instagram Kumenuka ni kuhusu ugomvi unaoendelea wa Kajala na Wema Sepetu, na kati hayo yote alitajwa Clement kuwa ndiye muhusika na aliweza kutembea na Marafiki wawili Kajala na Wema Sepetu, kutoka insta huyo ndiye Clement Kigogo wa ikulu aliyefaidi penzi la Wema Sepetu na La Kajala. Akaunti moja iliyopo instagram kwa jina Dougiemasta13 ambayo ni team wema imefungunga kuhusu kajala na huyu Clement na hivi ndivyo ilivyosema: